Mentor Movement Activities Grade 3 by Mentor
KSh488.00 Original price was: KSh488.00.KSh440.00Current price is: KSh440.00.
MENTOR Movement Activities Grade 3 workbook is fully in line with the Competency Based Curriculum (CBC).The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for a Lower Primary Learner. This book has been authored by teachers with a wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966012104
Related products
-
Moran Grow in Faith Bible Stories Activities Book Grade 3
KSh561.00Original price was: KSh561.00.KSh505.00Current price is: KSh505.00. -
Kielekezi cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 Kitabu cha Mwanafunzi by Mentor
KSh539.00Original price was: KSh539.00.KSh485.00Current price is: KSh485.00.Add to cartKIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaata mpya unaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueteweka na mwanafunzi kwa urahisi.
ISBN: 9789966059802
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 3 (Approved)
KSh285.00Original price was: KSh285.00.KSh255.00Current price is: KSh255.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 3 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652515
-
Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3 (Approved)
KSh633.00Original price was: KSh633.00.KSh570.00Current price is: KSh570.00.Add to cartHatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunz: kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lughakusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:
– Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3 ili kurahisisha utumiaji.
– Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.
– Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.
– Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.
– Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.
– Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.
– Hadithina utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.
– Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia.
ISBN: 9789966479327
-
Growing in Christ CRE Activities Grade 3 by Oxford
KSh411.00Original price was: KSh411.00.KSh370.00Current price is: KSh370.00.Add to cartThe Growing in Christ competency-based series is specially written to provide practical experiences that will build the learners’ knowledge and understanding of the Christian faith, as well as equip them with values, skills and attitudes that will assist them live well with self and others. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition of the core competences and values as well as an appreciation of pertinent and contemporary issues (PCIs).
ISBN: 978 019 574672 3








Reviews
There are no reviews yet.