Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
KSh927.00 Original price was: KSh927.00.KSh835.00Current price is: KSh835.00.
Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
Related products
-
Ibuku Ria Ngai
KSh1,222.00Original price was: KSh1,222.00.KSh1,100.00Current price is: KSh1,100.00.Add to cartThe book sacred to Christians , the inspired word of God is now available in GIKUYU Version.
ISBN: 9789966480514
-
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition by Oxford
KSh1,316.00Original price was: KSh1,316.00.KSh1,185.00Current price is: KSh1,185.00.Add to cartKamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.ISBN: 9780195746167
-
Kamusi Teule ya Kiswahili by Ahmed E Ndalu, Hamisi Babausa, Suleiman A Mirika
KSh1,444.00Original price was: KSh1,444.00.KSh1,300.00Current price is: KSh1,300.00.Add to cartKAMUSI TEULE ya Kiswahili – Kilele cha Lugha
“Ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofiawenye tajriba kubwa.
Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomajilengwa.”
Kamusi hii ina;
Maneno ya jumla zaidi ya 320, 000Vidahizo na vibadala zaidi ya 35, 000Picha za kuvutia msomajiEtimolojia ya vidahizoNgeli za manenoWingi wa manenovidahizo vya taaluma mbalimbaliIstilahi za ushairiIstilahi za fasihi andishi
ISBN: 2010127000576
-
Good News Bible by Bible society
KSh1,555.00Original price was: KSh1,555.00.KSh1,400.00Current price is: KSh1,400.00.Add to cartFor over twenty-five years the Good News Bible has been the most popular, truly easy-to-read Bible, offering a trustworthy translation based on the best original Greek and Hebrew sources. Ideal for the individual reader and used in thousands of schools and churches.
ISBN: 9789966481658
-
Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn
KSh1,555.56Original price was: KSh1,555.56.KSh1,400.00Current price is: KSh1,400.00.Add to cartKamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
ISBN: 9789987020973







Reviews
There are no reviews yet.