Sale!
Sale!
Kamusi kuu ya Kiswahili by Longhorn
Original price was: KSh1,933.00.KSh1,740.00Current price is: KSh1,740.00.
kamusi kuu ya kiswahili
ISBN: 9789987020980
Category
KSh1,933.00 Original price was: KSh1,933.00.KSh1,740.00Current price is: KSh1,740.00.
kamusi kuu ya kiswahili
ISBN: 9789987020980
The book sacred to Christians , the inspired word of God is now available in GIKUYU Version.
ISBN: 9789966480514
Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo. Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya kiswahili.
Maneno muhimu 1700 na zaidi ya Kiswahili
Maelezo wazi ya maneno. Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi
Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno.
Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha na mazoezi
ISBN: 996361405
Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.
ISBN: 9780195746167
Kamusi ya Shule za Msingi
imetungwa kwa ustadi na wataana wataalamu wa Kiswahili imefanyiwa utafiti wa hali ya juu ina maneno yaliyoteuliwa na kukadiriwa inarahisisha utambuzi na matumizi ya ngeli za nomino ni kifaa bora kwa kila mwanafunzi wa shule a msingi
ISBN: 9780195733068
Reviews
There are no reviews yet.