Smartboost Encyclopedia Booster Grade 5 by SMARTBOOST
KSh1,133.34 Original price was: KSh1,133.34.KSh1,020.00Current price is: KSh1,020.00.
ISBN: 9789914401028
Related products
-
OUP Let’s Do Mathematics Wkbk GD5
KSh605.00Original price was: KSh605.00.KSh545.00Current price is: KSh545.00. -
OUP Let’s Do Mathematics Learner Grade 5 (Approved) by B. Awuor, M. Ng’ang’a, C. Kiyiapi, M. Aketch, P. Kahoro
KSh666.00Original price was: KSh666.00.KSh600.00Current price is: KSh600.00.Add to cartLet’s Do Mathematics is a new series for the Competency-Based Curriculum. It is specially written to provide practical experiences that equip learners with knowledge and skills that will enable learners to develop a positive attitude towards mathematics as a learning area and also appreciate its importance in their everyday life. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at enabling learners to acquire the core competencies and values as well as embrace the pertinent and contemporary issues (PCIS).
Let’s Do Mathematics Learner’s Book Grade 5 has:
• Numerous interactive activities to enable learners to acquire
practical skills to solve problems in their environment.
• Think and Do sections that comprehensively guides learners on how to tackle various problems in mathematics.
• Challenge sections aimed at bringing out critical thinking and problem-solving skills in learners.
• Home tasks to allow learners to engage family and the community in the learning process.
• Digital corner sections that allow learners to apply digital technology in learning.Together, the Learner’s Book and the Teacher’s Guide provide learners and teachers with all they need to succeed in the new Competency-Based Curriculum.
ISBN: 9780195749076
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved) by J. Ndege, P. Kea, E. Osoro, Z. Mucheria
KSh627.00Original price was: KSh627.00.KSh565.00Current price is: KSh565.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za
kijamii zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.ISBN: 9780195749052
-
Kurunzi ya Kiswahili Grade 5 Mwanafunzi (Approved) by A. Matei, J. Mwamburi, F. Wangome, F. Atulo
KSh639.00Original price was: KSh639.00.KSh575.00Current price is: KSh575.00.Add to cartKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa huu unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
Kitabu hiki
• Kimeshughulikia mada kwa njia inayomwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
• Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali. Mada hizi zinalenga kuimarisha umilisi wa kusikiliza kwa makini, kuzungumza kwa ujasiri, kusoma kwa ufasaha na kuandika vyema.
• Kuna mazoezi na mijarabu kama vile shughuli kwa mwanafunzi, shughuli ya vikundi, kazimradi, shughuli ya nyumbani na michezo ili kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi kwenye stadi mbalimbali za lugha.
• Picha halisi na michoro ya kuvutia inamsaidia mwanafunzi katika uelewa wa mada.
• Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
• Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi ya uwekezaji, shughuli nje ya darasa, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
• Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
•Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.ISBN: 9789966572455
-
Kurunzi ya Insha gredi ya 4 na 5 by Francis Wangome
KSh800.00Original price was: KSh800.00.KSh720.00Current price is: KSh720.00.







Reviews
There are no reviews yet.