
Premier Revision Encyclopedia – Grade 7
KSh1,655.00 Original price was: KSh1,655.00.KSh1,490.00Current price is: KSh1,490.00.
Related products
-
Distinction CRE Grade 8 (Approved) by Distinction
KSh722.23Original price was: KSh722.23.KSh650.00Current price is: KSh650.00.Add to cartDistinction Christian Religious Education Grade 8 Learner’s Book is a course book written in line with the Competence Based Curriculum. The concepts in the book are presented in logical sequence to equip the learner with the necessary knowledge, skills values and attitudes. It provides a link between the previously learnt concepts and also prepares the learner for subsequent levels of learning.
-
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Spotlight
KSh1,095.00Original price was: KSh1,095.00.KSh985.00Current price is: KSh985.00.Add to cartKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi kuzingatia Mtaala wa Umilisi wa Gredi ya 8. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kumudu stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango chake.
Yaliyomo
Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi na mijarabu anuwai, kama vile:
-Shughuli kwa Mwanafunzi-Shughuli ya Wanafunzi Wawiliwawili
-Shughuli ya Vikundi
-Shughuli ya Nyumbani
-Shughuli ya Ziada
-Tamthmini ya Mwisho wa Mada
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu na kumpa mapendekezo ya ufunzaji.
ISBN: 9789966573834
-
Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Mentor
KSh1,022.23Original price was: KSh1,022.23.KSh920.00Current price is: KSh920.00.Add to cartKielekezi cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu
yanayotaragjiwa.Kitabu hiki:
-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.
-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.
-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.
-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.
-Kina maswali ya tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.
-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishgji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na Mtaala wa Kiumilisi.
-
Bookmark Integrated Science Learner’s Book Grade 7
KSh561.12Original price was: KSh561.12.KSh505.00Current price is: KSh505.00.Add to cartCongratulations for choosing this learner’s book. This book will help you to lay a firm and lasting creative foundation in understanding integrated science as you start junior secondary school. The activities in the book Are easy to use and are carefully designed to enhance appreciation of scientific knowledge.
ISBN:9789966749437
-
OUP Alive CRE Grade 8 (Approved) by Oxford
KSh1,005.56Original price was: KSh1,005.56.KSh905.00Current price is: KSh905.00.






Reviews
There are no reviews yet.