
Premier Revision Encyclopedia – Grade 7
KSh1,655.00 Original price was: KSh1,655.00.KSh1,490.00Current price is: KSh1,490.00.
Related products
-
Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Mentor
KSh1,022.23Original price was: KSh1,022.23.KSh920.00Current price is: KSh920.00.Add to cartKielekezi cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu
yanayotaragjiwa.Kitabu hiki:
-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.
-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.
-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.
-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.
-Kina maswali ya tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.
-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishgji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na Mtaala wa Kiumilisi.
-
OUP Evolving World Social Studies Grade 8 (Approved) by Oxford
KSh1,100.00Original price was: KSh1,100.00.KSh990.00Current price is: KSh990.00.Add to cartEvolving World Social Studies is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of skills for the Competency Based Curriculum. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting
and motivating. The activities are aimed at acquisition and appreciation of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues (PCIs).ISBN: 9789914441628
-
Bookmark Integrated Science Learner’s Book Grade 7
KSh561.12Original price was: KSh561.12.KSh505.00Current price is: KSh505.00.Add to cartCongratulations for choosing this learner’s book. This book will help you to lay a firm and lasting creative foundation in understanding integrated science as you start junior secondary school. The activities in the book Are easy to use and are carefully designed to enhance appreciation of scientific knowledge.
ISBN:9789966749437
-
OUP Kiswahili Fasaha Grade 8 (Approved) by Oxford
KSh1,005.56Original price was: KSh1,005.56.KSh905.00Current price is: KSh905.00.Add to cartKiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko
yanayokusudiwa katika mtaala.Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:
-Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na
Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha-Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
-Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
-Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
-Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
-Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
-Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
ISBN: 9789914441482
-
Spark Integrated Science Learner’s Book for Grade 7
KSh722.00Original price was: KSh722.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00.Add to cartThis book has been approved by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD). It comes along with the most comprehensive Teacher’s Guide.
- Author:
- Jackson Muraya, Francis N. Kinaka, Martin Bunguswa, Alice w. Kanyoro






Reviews
There are no reviews yet.