OUP Kiswahili Dadisi Grade 3 Workbook
KSh555.00 Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vyo mazoezi katika mtalaa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
ISBN: 9780195747386
Related products
-
Mentor English Activities GD3 (Appr) by Oulo, Otieno, Ayieko
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMentor English Activities Grade 3 workbook is fully in line with the new Competency Based Curriculum. The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for the learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966059741
-
Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3 by Mwalimu Kipande
KSh428.00Original price was: KSh428.00.KSh385.00Current price is: KSh385.00.Add to cartStadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika.
ISBN: 9789966630421
-
Moran Beginning Art and Craft Grade 3
KSh550.00Original price was: KSh550.00.KSh495.00Current price is: KSh495.00.Add to cartBeginning Art and Craft is a day-to-day fun and learn activity book. The book is carefully prepared to enable the learners enjoy as they further their competencies, skills, and understanding of all the specific learning outcomes in the curriculum design. Peer assessment activities have deliberately been included in the book to enable learners to engage in active learning and develop their ability to reflect on what they learn as they learn from others. This platform is one way of developing numerous competencies and skills through the various activities. With Beginning Art and Craft, it is learning, growing, and having fun.
ISBN: 9789966632456
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 3 (Approved)
KSh285.00Original price was: KSh285.00.KSh255.00Current price is: KSh255.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 3 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652515
-
Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3 (Approved)
KSh633.00Original price was: KSh633.00.KSh570.00Current price is: KSh570.00.Add to cartHatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunz: kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lughakusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:
– Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3 ili kurahisisha utumiaji.
– Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.
– Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.
– Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.
– Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.
– Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.
– Hadithina utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.
– Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia.
ISBN: 9789966479327








Reviews
There are no reviews yet.