Mwongozo ya Mapambazuko ya Machweo (Globalink) by Globalink
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789966766885
Related products
-
Storymoja Giza la Muda by Storymoja
KSh644.44Original price was: KSh644.44.KSh580.00Current price is: KSh580.00.Add to cartNana anahudhuria sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa chanda na pete, Judi. Huko, anakutana na mwigizaji maarufu ambaye ameigiza kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga kinachowalenga vijana. Papo hapo, Nana anapiga urafiki na mvulana huyo maarufu; urafiki ambao unaishia kuwa majuto.
Giza la Muda ni hadithi inayoangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika jamii na jinsi ya kukabiliana nazo. Changamoto hizo ni kama vile ushawishi wa marika na mimba za mapema.
ISBN: 9789966623638
-
Nguu za jadi by CLARA MOMANYI
KSh766.00Original price was: KSh766.00.KSh690.00Current price is: KSh690.00. -
Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo(Climax)
KSh555.00Original price was: KSh555.00.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartVitabu Hivi Vimeandikwa na Waalimu Waliobobea katika kufunza na kutahini mtihani wa kitaifa wa Fasihi KCSE.
Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na hadithi nyingine Una kusudia Kuwasaidia wanafunzi kuvelewa mkusanyiko huu wa hadithi fupi ili kuwatayarisha katika mtihani wa kitaifa K.C.S.E.
ISBN: 9782326756892
-
Mwongozo wa Bembea ya Maisha (Climax)
KSh555.00Original price was: KSh555.00.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartMwongozo huu wa tamthilia ya Bembea unajumulisha vijitabu vitatu.
1.Mwongozo wenyewe wa Tamthilia ya Bembea.
2. Ushauri kwa mwanafunzi kuhusu jinsi ya kujibu ya kiswahili ya KCSE.
3. Mifano ya Maswali na majibu mwafaka
ISBN: 9782199766806
-
Dumpsite Puzzle by Kabui
KSh483.00Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartKevin and Martin find themselves on the trail of dangerous criminals as they try to discover what happens at a mysterious dumpsite. With the man in a purple suit hot on their heels, what will the boys do? Will Uncle Ben show up?
ISBN: 9780195736175







Reviews
There are no reviews yet.