Mentor English Literacy Grade 1
KSh505.00 Original price was: KSh505.00.KSh455.00Current price is: KSh455.00.
Related products
-
Mentor Hygiene and Nutrition Activities Grade 1 Learner’s Book
KSh555.55Original price was: KSh555.55.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartMentor Environmental workbook is fully in line with the new competency based curriculum.
The book is easy to use and contains a variety of learning activities.
It makes learning fun for the Pre-Primary learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
-
Mentor CRE Activities Learner’s Grade 1
KSh538.88Original price was: KSh538.88.KSh485.00Current price is: KSh485.00.Add to cartMentor CRE workbook is fully in line with the new competency-based curriculum. The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for the lower primary learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.ISBN: 9789966059567
-
Nyota ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi Grade 1
KSh505.00Original price was: KSh505.00.KSh455.00Current price is: KSh455.00.Add to cartKitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya ziada kwa Gredi ya Kwanza. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kitabu hiki kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya Kiswahili kwa kutimiza rnaarubu ya mtalaa wa kiwango husika. Ndani yake mna mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yao.
Kimezingatia stadi zote za kujifunza lugha, yaani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungurnza
(iii) Kusoma
(iv) Kuandika
(v) Msamiati
(vi) Sarufi
ISBN: 9789966511065
-
OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved)
KSh522.22Original price was: KSh522.22.KSh470.00Current price is: KSh470.00.Add to cartSoma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza,
kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka.
ISBN: 9780195746945
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 1 (Approved)
KSh311.00Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00.Add to cart
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652324







Reviews
There are no reviews yet.