Dumpsite Puzzle by Kabui
KSh483.00 Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.
Kevin and Martin find themselves on the trail of dangerous criminals as they try to discover what happens at a mysterious dumpsite. With the man in a purple suit hot on their heels, what will the boys do? Will Uncle Ben show up?
ISBN: 9780195736175
Related products
-
Mwongozo wa Nguu za Jadi (Climax) by Clara Momanyi
KSh583.33Original price was: KSh583.33.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cart
Mwongozo huu wa RIWAYA YA NGUU ZA JADI UNAJUMULISHA VIJITABU VITATU VIKIWEMO:
1. Mwongozo wenyewe wa Nguu Za Jadi.
2. Ushauri kwa mwanafunzi kuhusu Jinsi ya kujibu Maswali ya Kiswahili ya KCSE.
3. Mifano ya Maswali na Majibu Mwafaka.
Vitabu Hivi Vimeandikwa na Waalimu Waliobobea katika kufunza na kutahi-ni mtihani wa kitaifa wa Fasihi KCSE.
ISBN: 9782123456865
-
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.Add to cartMapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi wa kipekee kwani umewashirikisha waandishi wenye tajriba pevu katika fani ya uandishi na kuwapa nafasi waandishi wachanga katika tasnia ya uandishi wa kifasihi. Waandishi waliochangia katika mkusanyiko huu wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kusawiri uhalisia wa maisha katika mazingira yao tofauti.
Suala la uhalisia wa maisha na mwingiliano wake na fasihi haliwezi kupuuzwa kwani fasihi ni kioo cha jamii.
Mkusanyiko huu una hadithi zenye maudhui mbalimbali na zinazosheheni migogoro itakayowafikirisha wasomoji. Hali kadhalika, huu ni mkusanyiko wa kwanza wa hadithi fupi kuwahi kuchapishwa ulio na idadi karibu sawa ya waandishi wa kike na wa kiume.
ISBN:9789914987195
-
Mshale wa Matumaini Grade 7 (Access) by John Habwe
KSh444.00Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartZingo na mama yake wanakimbilia ughaibuni kufuatia mzozo wa kikabila katika nchi yao. Huko ughaibuni wanakabiliwa na matatizo mengi. Zingo anafanya bidii kuyakabili licha ya umri wake mdogo. Hata hivyo, kinachomstaajabisha na kumhuzunisha ni kuhusishwa na baba yake ambaye anatuhumiwa kuwa mhalifu wa kivita. Zingo anabaguliwa na wenzake lakini anapiga moyo konde na kuendelea na masomo yake ambayo sasa yanampa matumaini ya kuyageuza maisha yake ya karaha kuwa ya furaha. Hii ni hadithi ya huzuni inayofunua makovu ya mizozo ya kijamii hasa mizozo hiyo inavyoathiri vijana wadogo.
ISBN: 9789914729931
-
Parliament of Owls – Set Book by Adipo Sidang’
KSh567.00Original price was: KSh567.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartDescription of Parliament of Owls Parliament of Owls by Adipo Sidang’ is a Kenyan award-winning poet and playwright. His Young Adult novella, A Boy Named Koko, won the 2017 Burt Award for African Young Adult Literature (Kenya). It was also shortlisted for the Burt Award for African Young Adult Literature (Africa) the same year, and …
-
Bembea ya Maisha – Set Book by Timothy M Arege
KSh516.00Original price was: KSh516.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartBembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.
ISBN: 9789966194534







Reviews
There are no reviews yet.